Swahili
Serikali ya Queensland hutoa huduma za ukalimani kwa wapiga simu ambao hawazungumzi Kiingereza.
Kupiga simu kutoka ndani ya Australia
Piga simu 13 QGOV (13 74 68) na ulizia Translating and Interpreting Service (Huduma ya Ukalimani na Utafsiri).
Kupiga simu kutoka nchi za ng’ambo
Piga simu +61 7 3328 4811 (+10 hours UTC) (masaa zaidi ya 10, UTC) na ulizia Translating and Interpreting Service (Huduma ya Ukalimani na Utafsiri).